Joshua 11:19

19 aHakuna mji wowote katika eneo hili uliyefanya mkataba wa amani na Israeli, isipokuwa hao Wahivi wa Gibeoni. Wengine wote walishindwa katika vita.
Copyright information for SwhKC